Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Luhaga Joelson Mpina amesema kuwa mnada wa Pugu utakarabatiwa na  kuwa mnada wa kimataifa utakaokuwa unahudumia wafanyabiashara kutoka nchi yoyote Africa na duniani kwa ujumla.Tanzania Mungu ametujalia kuwa na tunu ya Rasilimali ng’ombe,Nchi zilizoendelea wanajivunia  vitu vyao,Mfano viwanda,ifike wakati na Sisi tujivunie Rasilimali ng’ombe tuyoliyopewa Mungu Bure


Tanzania  na Uganda  zimesaini  makubaliano ya kuboresha sekta ya mifugo baina ya nchi mbili kwa kuimarisha ushirikiano katika nyanja za kuthibiti magonjwa hatari ya mlipuko na kuanzisha minada ya  pamoja ya kimataifa kwa maslahi ya nchi zote mbili.


Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) inatangaza  majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kampasi za vyuo vya Mafunzo ya Mifugo mwaka wa Masomo 2018/2019 Wanafunzi wote waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti vyuoni kuanzia tarehe 08/10/2018 na mwisho wa kuripoti  ni tarehe 15/10/2018, Kwa majina waliochaguliwa na  maelezo zaidi bofya hapa Fomu za kujiunga tembelea ukurasa…