Tanzania na Uganda zasaini Makubaliano. admin June 1, 2017 0 comment Tanzania na Uganda zimesaini makubaliano ya kuboresha sekta ya mifugo baina ya nchi mbili kwa kuimarisha ushirikiano katika nyanja za kuthibiti magonjwa hatari ya mlipuko na kuanzisha minada ya pamoja ya kimataifa kwa maslahi ya nchi zote mbili. ← Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Vyuo vya Mifugo Mwaka wa Masomo 2018/2019Fomu za kujiunga na Vyuo vilivyopo chini ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (lita) →