Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Luhaga Joelson Mpina amesema kuwa mnada wa Pugu utakarabatiwa na¬† kuwa mnada wa kimataifa utakaokuwa unahudumia wafanyabiashara kutoka nchi yoyote Africa na duniani kwa ujumla.Tanzania Mungu ametujalia kuwa na tunu ya Rasilimali ng’ombe,Nchi zilizoendelea wanajivunia¬† vitu vyao,Mfano viwanda,ifike wakati na Sisi tujivunie Rasilimali ng’ombe tuyoliyopewa Mungu Bure

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *