Tangazo la Maombi 2021/2022

Wakala ya Mafunzo ya Mifugo (LITA) kupitia Kampasi za Tengeru, Buhuri, Mpwapwa, Morogoro, Madaba, Temeke, Mabuki na Kikulula inakaribisha maombi ya kujiunga na Mafunzo katika fani za mifugo, katika mwaka wa masomo 2021/2022

BONYEZA KIUNGANISHI CHINI KUPAKUA

Tangazo la Maombi 2021/2022