Tangazo la Maombi ya Chuo Awamu ya Kwanza

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI

WAKALA YA MAFUNZO YA MIFUGO - LITA

TANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA MIFUGO

Wakala ya Mafunzo ya Mifugo (LITA) kupitia Kampasi zake za Tengeru, Buhuri, Mpwapwa, Morogoro, Madaba, Temeke, Mabuki na Kikulula inakaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya mifugo, katika mwaka wa masomo 2024/2025

Kozi zitolewazo ni:

1.Astashahada na Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Mifugo

2.Astashahada na Stashahada ya Ufundi Sanifu wa Maabara ya Veterinari

3.Stashahada ya Uendelezaji wa Nyanda za Malisho na Udhibiti wa Ndorobo

Sifa za waombaji

AU

Maombi yatumwe kupitia: https://olas.lita.go.tz au kupakua fomu ya maombi ya kujiunga na mafunzo kupitia Tovuti ya LITA: www.lita.go.tz

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 14/07/2024.

Kwa mawasiliano zaidi tumia namba zifuatazo: 0733 540 544, 0754 828 688; 0714 994 755

AU tembelea Tovuti ya Wakala: www.lita.go.tz