Kikao cha Bodi 2024

Mafunzo kwa Wafugaji wa Ng’ombe wa Maziwa Kampasi ya Buhuri

Wataalamu wa LITA wakionesha baadhi ya bidhaa zinazozalishwa na LITA katika maonesho ya Nanenane jijini Mbeya. Bidhaa hizo ni pamoja na mbegu za malisho, mtindi, samli, jibini , siagi na bidhaa za ngozi.

Timu ya waoneshaji ya LITA ikiwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Mafunzo ya Mifugo Dkt Pius Mwambene katika banda la Wakala kwenye maonesho ya kilimo ya Nanenane 2022 jijini Mbeya

LITA ikishiriki katika maonesho ya TVET (Technical and Vocational Education and Training) yaliyofanyika Dodoma kuanzia tarehe 7/6/2022 hadi 13/6/2022

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa LITA alipotembelea banda la LITA katika maonesho ya TVET (Technical and Vocational Education and Training) yaliyofanyika Dodoma kuanzia tarehe 7/6/2022 hadi

Mabweni ya wanafunzi

Uchakataji wa maziwa

Maabara mpya ya kisasa

Jengo jipya la mihadhara (lecture theater)

Jengo jipya la mihadhara (lecture theater)

Mafunzo kwa vitendo

Mafunzo kwa vitendo

Jengo jipya la mihadhara (lecture theater)

Welcome Note from C.E.O – Dr. Pius Lazaro Mwambene

Dkt. Pius Lazaro Mwambene

In Tanzania, the Livestock Sector plays an important role in building a strong national economy by contributing to an increased household food security and safety, income, use of animal draught power, manure, foreign currency and employment opportunities. Large part (more than 97%) of the livestock sector is composed of traditional populations whose production potentials are relatively low but... Soma zaidi