ORODHA YA MAJINA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KAMPASI ZA WAKALA MWAKA WA MASOMO 2025/2026
NB: Unahitajika kutunza namba ya msimbo uliyopokea kutoka NACTVET kupitia namba ya simu ya mkononi uliyoweka wakati wa kutuma maombi ya kujiunga na Chuo. Aidha, namba ya msimbo itatumika kwenye zoezi la usajili pindi utakaporipoti chuoni.
Fomu ya mahitaji ya kujiunga na chuo (Joining Instruction) inapatikana kwenye tovuti ya Wakala ambayo ni www.lita.go.tz