ORODHA YA MAJINA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KAMPASI ZA LITA KWA MASOMO 2023/2024 - AWAMU YA KWANZA
NB: Unahitajika kutunza namba ya msimbo uliyopokea kutoka NACTVET kupitia namba ya simu ya mkononi uliyoweka wakati wa kutuma maombi ya kujiunga na Chuo. Aidha, namba ya msimbo itatumika kwenye zoezi la usajili pindi utakaporipoti chuoni.