JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
WAKALA YA MAFUNZO YA MIFUGO - LITATANGAZO LA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA MIFUGO
Wakala ya Mafunzo ya Mifugo (LITA) kupitia Kampasi zake za Tengeru, Buhuri, Mpwapwa, Morogoro, Madaba, Temeke, Mabuki na Kikulula inakaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya mifugo, katika mwaka wa masomo 2023/2024
Maombi yatumwe kupitia: https://olas.lita.go.tz au kupakua fomu ya maombi ya kujiunga na mafunzo kupitia Tovuti ya LITA: www.lita.go.tz
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10/09/2023.
Kwa mawasiliano zaidi tumia namba zifuatazo: 0733 540 544, 0754 828 688; 0714 994 755
AU tembelea Tovuti ya Wakala: www.lita.go.tz