Imewekwa: 25, November 2026
Matukio katika picha wakati Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa alipotembelea Wakala ya Mafunzo ya Mifugo Tanzania (LITA), Kampasi ya Temeke, Dar es Salaam, leo Septemba 14, 2026.
Mheshimiwa Waziri ameitaka Wakala ya Mafunzo ya Mifugo Tanzania (LITA) kuendelea kuboresha mafunzo na kutoa wataalamu wenye uwezo wa kukabiliana na mahitaji na mabadiliko yanayoendelea katika sekta ya mifugo nchini.