ORODHA YA MAJINA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KAMPASI ZA WAKALA MWAKA WA MASOMO 2024/2025 - AWAMU YA PILI
NB: Unahitajika kutunza namba ya msimbo uliyopokea kutoka NACTVET kupitia namba ya simu ya mkononi uliyoweka wakati wa kutuma maombi ya kujiunga na Chuo. Aidha, namba ya msimbo itatumika kwenye zoezi la usajili pindi utakaporipoti chuoni.
Tarehe ya kuripoti chuoni ni tarehe 07/10/2024:
Fomu ya mahitaji ya kujiunga na chuo (Joining Instruction) inapatikana kwenye tovuti ya Wakala ambayo ni www.lita.go.tz