MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO- 2022/2023

Wakala ya Mafunzo ya Mifugo (LITA) kupitia Kampasi za Tengeru, Buhuri, Mpwapwa, Morogoro, Madaba, Temeke, Mabuki na Kikulula- inakaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo katika fani zinazohusu mifugo, katika mwaka wa masomo 2022/2023.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/07/2022.

Wanafunzi waliochaguliwa na OR-TAMISEMI kujiunga na mafunzo katika kampasi za LITA mnakumbushwa kuthibitisha na kupakua fomu ya maelekezo ya kujiunga na mafunzo kupitia Tovuti ya LITA www.lita.go.tz

Kwa mawasiliano zaidi tumia namba zifuatazo: 0754 746 782; 0754 828 688; 0786 203 825 na 0733 540 544; AU tembelea Tovuti ya Wakala: www.lita.go.tz

WOTE MNAKARIBISHWA

Tanzania Census 2022